TAHADHARI NA AINA HIZI ZA PETE


          Watu wengi wamekuwa wakipendelea sana kuva pete zenye stone nyingi ndogo ndogo pembeni (kama hiyo hapo juu), ila baada ya muda huwa kero kwa mvaaji na kuichukia kabisa pete yake.
       Nikweli pete za aina hii ni nzuri sana machoni mwa watu na zinapendeza sana mtu akivaa mana zinaleta taswira ya mvuto fulani na kumfanya mvaaji ajisikie amependeza. 
      Ila changamoto ya pete hizi ikianza huwa ni kero sana kwa mvaaji kwani ni rahisi kuichoka,
          Baada ya muda kupita hizo stone za pembeni huwa zinatoka(zinachomoka) moja moja baada ya muda huifanya pete kuwa na vishimo vingi vidogo vidogo na kuondosha uzuri au urembo wa pete. 
pia ni changamoto kwenye kuzikosha pete kama hizo kwani zinahitaji tahadhari ya hali ya juu, kwani unaweza kukosana na muoshaji (sonara) kuwa amekuharibia pete yako kumbe ni hali tu ya kudondoka ya hizo stone za pembeni ndogo ndogo wakati alipokuwa anaisafisha.
          Hivyo tunashauri mtu atumie pete za simple na nzur kama hiyo kwenye picha hapo chini ama yoyote mfano wake, kwani ataweza kuvaa siku zote bila ya changamoto yoyote.




Kwa ushauri zaid tupigie kwa simu namba 0621 242056. Au unaweka kufika ofisini kwetu iliopo Arusha mjini maeneo ya stand ndogo.
Wote munakaribishwa.

Comments

  1. KARIBU UPATE KUJUWA NYOTA YAKO NA KUUJUA MWILI WAKO NA TIBA YA MATATIZO YAKO.

    Kwa uhitaji pia wa NDAGU ya ulinzi au Mali pia Mali ya MAJINI ila kwa hili nahitaji mutu mwenye sifa hizi
    1.MSIRI
    2.MALENGO
    3.NIA YADHATI NA KWELI
    4.NIDHAMU

    DOKTA MDIRO, call/whatsup +255 742162843

    DUNIA HII SIO MBAYA ILA WALMWENGU NDIO WABAYA,
    KATIKA MAISHA YETU TUNAISHI NA WATU WA AINA MBALIMBALI WEMA NA WABAYA

    Natoa ofa ya checkup au kuuchuuza mwili wako na NYOTA yako kuchekii mwili wako na NYOTA yako ni Kama unavyokwenda kwa daktari hospitalini kufanya checkup ya afya ya mwili kuuhepusha na maradhi nyemerezi kwa kuyakinga au kuyaondoa kabisa.

    TUNAISHII KTK DUNIAA AMBAYO YENYE UPENDO , CHUKI NA ROHOMBAYA.

    TUMEZUNGUKWA NA JAMII AMBAYO WATU TUNACHEKA NAO TUNAKUNYWA NAO LAKINI UPANDE MWINGINE NDIO WANATUZUNGUKA KUTUFANYIA MAMBO MABAYA.

    ∆KUNAWATU WAPO MAKAZINI HAWAONI MAENDELEO
    ∆WATU WANAFANYA BIASHARA HAWAONI FAIDA
    ∆VIFUNGO VYA UCHAWI YAANI WEWE MWILI NI KUUMA TU
    ∆WENGINE USIKU MREFU HAKNA USINGIZI
    ∆UNAOMBA KAZI HUPATI NA UNAVIGEZO
    ∆WENGINE KOO ZAO HAKUNA HATA MWENE BAISIKELI WOTE NI KILIA TU
    ∆KILA NDOA WEWE NI KUACHIKA BILA SABABU
    ∆MAJINI MAHABA MWILINI.
    ∆KILA UKIPATA PESA HIKAI NA MATATIZO KUANDAMA.
    ∆WENGINE MPAKA MAJINA YAO NA BAHATI ZAO ZIMEFUNGWA MAKABURINI BILA KUJUWA.

    HACHA KULALAMA CHUKUA HATUA KUBADILI MAISHA YAKO HUJAUMBWA KATIKA DUNIA HII KUTESWA NA MTU NA KUWA KITUO CHA MATATIZO NA MAJARIBIO JIWEKEE KINGA YAKO NA FAMILIA UHESHIMIKE HUSISINGIZIE HALI NGUMU MBONA SHOW ROOM MAGARI YANAUZIKA KILASIKU NAWE JIWEKE KATIKA HALI NAWE UWE NA MAISHA MAZURI.

    Magonjwa yote hutibika kwa mwenye kubri na uwezo kutoka kwa Allah DOKTA MDIRO upate ufumbuzi wa tatizo na Jambo lako.

    UWEZE KUTIZAMWA NYOTA YAKO NA MWILI KWA UJUMLA UMBALI SIO TATIZO HUDUMA INAKUFIKIA PIA KWA WANAOTAKA KUFIKA OFISINI NA MAWASILIANO NAMBA ZIPO CHINI UNAPOKELEWA NA DOKTA MDIRO MOJA KWA MOJA.

    DOKTA MDIRO call/whatsup +255 742162843

    ANGALIZO PIGA SIMU HUSITUME SMS KUHUDUMIWA HARAKA NA KUHEPUKA MATAPELI.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KUJUA DHAHABU(GOLD) HALISI NA KUEPUKANA NA MATAPELI