Posts

TAHADHARI NA AINA HIZI ZA PETE

Image
          Watu wengi wamekuwa wakipendelea sana kuva pete zenye stone nyingi ndogo ndogo pembeni (kama hiyo hapo juu), ila baada ya muda huwa kero kwa mvaaji na kuichukia kabisa pete yake.        Nikweli pete za aina hii ni nzuri sana machoni mwa watu na zinapendeza sana mtu akivaa mana zinaleta taswira ya mvuto fulani na kumfanya mvaaji ajisikie amependeza.        Ila changamoto ya pete hizi ikianza huwa ni kero sana kwa mvaaji kwani ni rahisi kuichoka,           Baada ya muda kupita hizo stone za pembeni huwa zinatoka(zinachomoka) moja moja baada ya muda huifanya pete kuwa na vishimo vingi vidogo vidogo na kuondosha uzuri au urembo wa pete.  pia ni changamoto kwenye kuzikosha pete kama hizo kwani zinahitaji tahadhari ya hali ya juu, kwani unaweza kukosana na muoshaji (sonara) kuwa amekuharibia pete yako kumbe ni hali tu ya kudondoka ya hizo stone za pembeni ndogo ndogo wakati ali...

JINSI YA KUJUA DHAHABU(GOLD) HALISI NA KUEPUKANA NA MATAPELI

Image
              Watu wengi wanatapeliwa kwa sababu ya kukosekana kwa vipimo sahihi vinavyoweza kubainisha kama bidhaa waliouziwa ni bandia ama ni halisi.            Kwa miaka kadhaa baddhi ya watu wamekuwa wakitapeliwa kwa kuuziwa bidhaa bandia za dhahabu au zilizo chini ya kiwango.        Matapeleli hao wamekuwa wakiuza bidhaa za chuma au bati mfano kama pete kwa kuzipaka kiwango kidogo cha nakshi za dhahabu au rangi ya dhahabu wakinadi kuwa zimetengenezwa kwa madini ya dhahabu halisi.        Mbali na matapeli wa mtaani na katika masoko mbalimbali, pia wapo baadhi ya wafanya biashara ambao wasio waaminifu wanaofanya udanganyifu kwa kupunguza kiwango cha dhahabu katika bidhaa husika, ili kujipatia fedha(pesa) nyingi katika kiasi kidogo cha madini.        Hata hivyo, kwa kutumia njia za kawaida sana upo uwezekano wa kugundua iwapo bidhaa ya dhahabu uliou...